@millardayo Taarifa yenyewe imekaa hovyo hivyo, "akiwa amefunga mikono", "mtendaji wa mtaa" huyo ndo cheo gani hicho. Martha Mgaya amesema kwa mujibu wa Mwanamke huyo aliwasili Mjini Njombe akiwa na wenzake wawili kwa ajili ya matembezi, lakini wenzake waliondoka na kumuacha
@Thisisliie_ Kuna jamaa wangu tuko na duka la vyakula akataka kuweka bench kwa nje nikamwambia hapo unaweka kijiwe sasa utafukuza wateja wote wa maana mtu anakuja unamuhudumia story mbili anasepa sio unaweka kijiwe watu wanashinda kutwa nzima hakuna cha maana wanachonunua zaidi ya kukopa fegi
๐จ๐๐๐ข๐ก๐ ๐๐๐ญ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐จ๐๐จ๐ ๐ก๐ ๐ช๐๐๐๐ง๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ข๐ก๐๐๐ญ๐ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐ข ๐๐๐๐๐ข ๐๐ฌ ๐๐ก๐ฌ ๐๐ข๐ช.
Kuna baadhi ya Dalili ambazo zikianza kujitokeza kwenye Maisha yako zinakupatia ujumbe kwamba...
Unatakiwa kuongeza Jitihada za Kutafuta pesa nyingi zaidi ili uendane kasi ya Ulimwengu.
Thread/Uzi๐งตโคต๏ธ