HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA
1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI
Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka.
2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK)
Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu.
3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA
Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo.
4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU
Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo.
5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING)
Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…).
Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja.
6. KAMA HUPATI USINGIZI
Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa).
Ubongo huingia katika hali ya usingizi.
7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA
Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu.
Husaidia kufungua njia ya hewa.
8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA
Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu.
Chukua Hii...���
@belindaPINDA01 Lakini mjapoteswa kwa sababu ya haki mna heri. Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike; bali mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu.
~1 Petro 3:14
#PilikaPilika: Mwanasaikolojia nguli @cosmassmadulu anatoa tofauti kati ya nafsi, roho na mwili na namna vitu hivi vitatu vinavyofanya kazi katika mwili wa binadamu.
Unaweza kumsikiliza kwa urefu zaidi kupitia channel yetu ya YouTube ya EastAfricaRadio
#PilikaPilika #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
Kumbuka utakutana na wanaume wapo vizuri kuliko mwanaume wako. Utakutana na wanawake warembo zaidi, wazuri na wenye bidii kuliko mwanamke wako. Huwezi kuridhika mpaka uwe na nidhamu yako mwenyewe..
KUKATIKA KWA INTANETI YA VODACOM
> Internet ya Vodacom Tanzania haipatikani nchi nzima kuanzia alfajiri ya leo Februari 23
> Wateja walalamika kwa kutopewa taarifa ya hitilafu hiyo
> Huduma kwa wateja wadai hawajui tatizo ni nini
#JFLeo