Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
[Mt 6:25 SUV]
Siku hizi za Mwisho, ingawa ni siku za hatari lakini Bwana atajidhihirisha sana kwa watu wote, Roho wake atamwagwa sana, ukihitaji wokovu utaupata Bure, na ukiliitia tu Jina la Bwana UTAOKOLEWA
Kuna dhambi kwa kila mtu " inayomzinga kwa upesi"
Yaani kila ukitubu, ukimaliza wiki basi mwezi hutoboi
Wakati mwingine hata ukitoka kwenye maombi soon inakuvaa
Jinsi ya kuishinda๐
Kuna aina fulani ya injili watu wanaitaka, lakini ipo injili ambayo watu hao wanaihitaji pasipo kujua
Wape injili hio!! Wakiikataa wewe kung'uta mavumbi ya miguu yako