" Aliye wa Mungu si mgumu kutubu,
Aliye wa Mungu ni laini kwa maneno ya Mungu,
Aliye wa Mungu humsikiliza Mungu
Aliye wa Mungu si MBISHI,
Aliye wa Mungu habishani hata mkakosana "
~~Askofu Moses Kulola.
Ni jambo zuri kuombea moyo wako kuliko pesa na uchumi. Maana moyo mzuri humvuta BWANA akupe vyote. Moyo mzuri hutengeneza Moyo wa ibada ambao utakupa neema ya kutafuta ufalme wa Mungu, na hapo kanuni ya Mungu itakuinua na kukubeba sawa sawa na neno lake (Mt. 6:33).
1. Nguvu ya Mkristo iko kwa Mungu, si kwa mbinu za kibinadamu
2 Wakorintho 10:3–5.
2. Kujisifu kunapaswa kuwa katika Bwana, kwa Mf mafanikio na huduma yetu vinapaswa kumtukuza Mungu na si kutafuta sifa za wanadamu.
Paulo Hakuwa miongoni mwa wale wanafunzi kumi na wawili wa Bwana Yesu Kristo.
Lakini alifanya makubwa sana katika kuhubiri injili kwa mataifa akishirikiana na watenda kazi wengine.
Wewe hapo ukiweza kujitoa kwa Mungu ni raisi sana Mungu kupata sadaka yako
Maana wewe ni WA thamani kuliko sadaka so ukiweza kujitoa basi na sadaka itatoka
🔥 THE HOLY GHOST IS FALLING IN PAKISTAN! 🇵🇰
Jesus is still pouring out His Spirit! Watch this powerful Holy Ghost outpouring as lives are transformed in Pakistan.
Equipping Millions 2 Reach Billions.
#globalharvest#outpouring#apostolic#holyghost#revival