2 Timotheo 4:2
[2]lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
LIVING GOSPEL: Mission and belief
Isaya 26:3
*[3]Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini.*
Mungu anahitaji moyo wako umtegemee, umwamini na kumtumaini, Yeye atakulinda na kila uovu.
Mungu akupe amani katika mipango yako yote.
Hivi manabii wana Influence gani hadi wanaweza kula, kuvuna na kupata sadaka za watu ambao si watoaji kwenye makanisa yao. Taasisi za makanisa kama Anglikana zinatumia nguvu kubwa sana kupata sadaka za washirika wao lakini manabii wanazipata kwa urahisi. Kwanini 🤔
Katika kitabu cha 2 Nyakati 14:1-5 maandiko yanasema Asa alivunja na kuondoa sanamu za miungu ya kigeni katika nchi ya Yuda, atatenda mema mbele za Mungu na ufalme ukastarehe mbele yake. Kanuni ya BWANA ipo wazi siku zote, ishi utakatifu akustareheshe katika mema yote.