Huu mwaka nilisema nitaanza kuishi kwa principle zangu pasipo kumuogopa yeyote zaidi ya Mungu na kufocus na vipaumbele vyangu zaidi.
Hii mbinu nimeona inalipa na matunda nayaona mdogo mdogo😁🫵🏾
Interview ya Picco (Kikongwe) pale mjini fm was so emotional 🥹
A time yule dada anainuka kwenda kum-hug homeboy na kumfuta machozi, then meneja akashindwa ku~hold akaenda kulia nayeye ukutani!!
Baadae kidogo camera inam~zoom Soggy na yeye analia…..!!
It was so touching…….
Moja ya interview bora na kali kabisa 2026 (10/10 well deserved🏆)
Ngoma mpya ya Picco pia kali 🔥
All the best kwa homeboy ❤️
Kama Kijana Jitahidi Sana Kabla ya Kula bata zako Mjini basi Wazazi wako waweke katika mazingira Mazuri,wale vizuri ndo uje sasa Huku kutamba Sio mzazi anashinda kwenye Moto anachoma mandazi alafu wewe Huku mjini unakunywa brutal na Serengeti🤦Tubadirike wakuu🙏
#TajiriLaKihaya
Wewe Kijana ulieajiriwa;
Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani.
Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni…
fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi,
Hawawezi Rithi kazi yako.
Kujifunza hakuishi…
Mamaee tumeachia NGOMA mpya huko "BETTING MACHINE".
Ni mwendo wa machupa MAKALI TUU, kanji anasimamia Show zote.
Nenda kaicheki ngoma muda huu.https://t.co/E5coTdOfWW
Kwenye haya maisha tujifunze kua humble. Maana leo unaweza kua juu kesho ukahitaji mkono wa yule uliekua unamdharau. Heshimu kila mtu, tenda wema na usibadilike kwa sababu ya mafanikio.
my daughter, amayra, turned one year old today. please join me and my family in wishing her a very happy birthday. baby amayra, as her brothers assad and anwar call her, means the world to me, and i thank my wife, and her lovely mother, @zahratunda, for her ❤️:
Asante MUNGU kwa kibali kuiona week hii mpya.
Nimelisha mtaa odds 76 & 15 week iliyoisha, naomba unipe kibali tena week hii mpya.
Furaha yangu kuona kuna watu wanaishi kwa mikeka ninayotoa mimi bure kila siku.
AMEN.🙏
Anko
"Nilishawahi kuona Funza Kwenye Embe, Nikamwona kwenye Papai.
Lakini Sijawahi kumwona kwenye Limao.
Wakati Mwingine Kuwa Mtamu Sana Ndiko Kunakokufanya Uliwe.