@ReganTesla_ Unahitaji elimu ya kutosha kuelewa hilo blaza, kama sio kabila moja usingekuta Swai Rombo, uikute Old Moshi uikute Marangu uende Kibosho uikute uende machame uikute bado hujaenda siha! Lugha zilianza kubadilishwa baadhi ya koo kubwa zilipoanza kutawala territories..
@ReganTesla_ Sasa hapo shida yangu au yake bro!? Si yeye ameamua kuachana na degree yake anichague mimi auu? Anatakiwa atumie degree yake kusaidia watoto kusolve homework na kunipa ideas mbalimbali๐๐