@coldjohnnycj@DeadlineDayLive Football is not just about on pitch performance, Vini is world class yes but you can't compare him to Mbappe in terms of quality and business wise. If any coach is asked who he would build his team around he will certainly chose Mbappe and not otherwise
@fumbokhanJr Unajua bajeti ya jeshi la marekani kwa mwaka wewe? Jeshi gani linakaribia marekani kwa bajeti kubwa? Au unadhani silaha zile watu wanapewa bure?
@kasesco_tz Hamnaa wanajituma sana kwa sababu ndo silaha yao, otherwise why would anyone hire them when there are alot more with more education and are willing to work for the same pay?
@Abuy_0@grok@Kicheche_jr@AREOPAGUS__ Kusema Quran ina mapungufu hapo unapingana sasa hata na Scholars wako. According to Islamic scholars, Quran is uncorrupted Word of God. Ila sasa wewe unataka kwenda kinyume na Walimu wako. Ingawa hata mimi natambua ni kitabu chenye makosa mengi, ya kihistoria na ya kimuundo.
@Bigsyke20 Kama umeshajikatia tamaa ni wewe,subiri muda ufike ukateketee. Kama huna hakika kuhusu utakuwa wapi siku ukifa its a sign unaenda motoni. The difference btn Christianity and other religion is it is only in Christianity that people know where they are going even before Judgement.
@Abuy_0@grok@Kicheche_jr@AREOPAGUS__ Kaka kiukweli hapa hakuna kitu tunafanya ila ukweli utabaki pale pale hizo aya ni za Quran na hazitapitwa na wakati. Zilikuwa ni za wakati ule na ni za wakati huu pia.
@Abuy_0@grok@Kicheche_jr@AREOPAGUS__ Nimeelewa wapi kaka? Zile Aya ni za muda wote na ndio hizo aya zinatumiwa na Radical muslims wote around the World. Nyie mliojichanganya na imani nyingine ndo mnajaribu kuwa moderate lakini in reality yale ni maagizo ya muda wote. ALLAH'S WORDS ARE ETERNAL.
@assengajrr@Bigsyke20 Mi naongea with the Authority of Scripture, kama Scripture is not enough for you then mimi na wewe hatuwezi kuendelea with any logical discussion.
@Abuy_0@grok@Kicheche_jr@AREOPAGUS__ Duniani kuna vita muda wote haziawahi kuacha,kwa hiyo kwa hoja yako ina maana hizi aya ni za muda wote. Middle east hapajawahi kupoa.
@Abuy_0@grok@Kicheche_jr@AREOPAGUS__ Aya zote zimeshushwa kabla ya 632 AD kwa mantiki hiyo kila kilichoandikwa kilikuwa ni kwa ajili ya watu wa karne ile. Kitu gani kimefanya nyingine zionekane za muda wote wakati pia zilishushwa kipindi kimoja? Zote zimeshushwa karne ya 7.
@assengajrr@Bigsyke20 Sio kujiita umeokoka ni neno la Mungu ndo linasema.
Warumi 10:9
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Hiyo ni Biblia sio maneno yangu.