@barakawamb Umechelewa sana kuwaza hilo kijana kaanze upya kufikiria kuwa kila unaemuona mbele yako anawaza kwa kutumia tumbo likijaa uchafu hakuna linachoweza kufanya zaidi ya kuvimbiwa endelea kuendekeza njaa utaacha ndala
@MsigwaGerson Huyo ni msomi msomaji magazeti ya uhuru katika wasomi watoke mbele na yeye atatoka aonyeshe usomi asitudolishie makalatasi kumjua kuwa msomi kuna mwenzenu huko kila kukicha anapewa nishani ya udoctor na ni form 4 failers Ibrahim lipumba yupo wapi alikuwa kama huyo
Kimenukaaaaa, wauwaji hawana pa kupumulia, nje ya nchi wamekaliwa kooni, ndani ya nchi wamekaliwa kooni.
Watanzania haki itapatikana, one way or another cha msingi hakuna kukata tamaa na hakuna kurudi nyumaโฆโฆ
@lifeofmshaba Hajawahi kumjua mwaipopo ni tapeli kitambo na muhuni wa kutupwa ila soon atamuelewa na siyo mwaipopo tu na wale waimba taarabu yona na mwenzie wote ni madalali
Bado chama chetu kinaweza kuwa na vijana waadilifu.. Asante sana Bavicha.
Hili ndio baraza tuliliongoza na kulijenga,
Hongera mwenyekiti mpya Bavicha .. Wakili Mahinyila.
Calling all TCL product owners, weโve got a mission for you:
We want to see your review of the TCL products
๐ Event Period: January 4th-20th, 2025
๐ 5 winners on Instagram and X will receive a $50 Amazon gift card
Full T&Cs in the comments
#TCLCES2025#INSPIREGREATNESS
SIMBA HAITA KWENDA KINYONGE ANGOLA.
( HATUHITAJI KIKOKOTOO)
Simba Sports Club haijawahi kuwa Mnyonge kwa waangola.Tulipo shiriki Fainali za CAF za Mwaka 1993 tulipitia Angola pia na kujikusanyia Point kwa Atlรฉtico Sport Aviaรงรฃo (ASA) .
Baadhi ya nguli ninao wakumbuka ni Godwin Aswile,Edward Chumila,Ayub Mzee,Rashid Abdalah ,Mohamed Mwameja hebu ongeza wengine unao wakumbuka...
Simba SC imewahi kucheza dhidi ya timu nyingine za Angola, kama vile Clube Desportivo Primeiro de Agosto.
Katika mechi zao, Simba SC ilishinda mechi zote mbili kwa matokeo ya 1-0 na 3-1, mtawalia.
Kumbuka mwanamichezo Mahiri anatambua Umuhimu wa TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA ILIYOBORESHWA.TUHIMIZE HAYA KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU.
BAK MWABUKUSI
Shambani Busokelo
Tunahitaji katiba itakayoweka vigezo bora vya watumishi wa wa serikali kuna viwango shindani vya kielimu na uzoefu kwenye maeneo wanayopewa ajira, Maslahi ya watumishi hao yawe shindani iwe kuwapa motisha kufanya kazi kwa bidii #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi