Siku nyingine ya kukumbushana kuwa, tembea kwa mwendo wako.
Wapo wanaozitegemea familia zao, na upo wewe ambao Familia yako inakutegemea.
Tembea kwa mwendo wako mkuu, Presha za mitandaoni zisikutoe Mchezoni ๐ถ๐พโโ๏ธ
GOOD MORNING ๐๐พ
Nifollow na nikufollow back chap.
Active & engage 100%
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
@kasimuabuu98@kasimuabuu98
Let's connect together ๐ฅ
Follow & i will follow back ASAP
๐ฅHappy Christmas ๐๐ ๐ฅ
๐๐ฝ500 kwa siku ni sawa na 180k kwa mwaka.
๐๐ฝ1000 kwa siku ni sawa na 360k kwa mwaka
๐๐ฝ2000 kwa siku ni sawa na 720k kwa Mwaka
Tabia ya kuhifadhi viakiba nawezaje jiambukiza aisee???
Unyonge mwingine wa Mwisho wa mwaka tunajitakia wenyewe ๐
Sauti ya Umma
Sauti ya Mtaa
Sauti ya Wanyonge..
Toka enzi hizo anapigwa vijembe kuwa anaimba taarifa ya habari, hakutetereka wala kuyumbishwa, amekuwa Spika ya Wananchi miaka yote ๐๐พ
Ishi sana MKATO ๐
Top 3 yako toka kwake ni ipi Mkuu??? ๐๐ฝ๐๐ฝ