@kayage_sal27846@Pie44LH Mhm, hivi vitu vinapatikana mgahawani?
Mbeya kuna baraka ya chakula, lakini katika sehemu ambayo mgeni anapata tabu ya kutafuta chakula ready made basi ni Mbeya. Vyakula vinauzwa raw, migahawa ni michache, na mostly utakuta chipsi na nyama choma asubuhi, mchana, jioni.