@McinikaWaLamar Ndoa na mahusiano ni vile utayatengeneza wewe mwanaume /mwanamke..na hata kuyaharibu ni wewe pia, muweke mpenzi/mwenzi wako kuwa rafiki msiogopane heshimianeni shirikishaneni, msijilinganishe hamtayaogopa
@McinikaWaLamar Mmezoeana kupita maekezo hamuogopani bali mnaheshimiana, mkifika hapa kama ni ile ya ushkaji basi mtadumu magomvi mtasikia kwa wengine aman yenu kila mtu ataitamani...