@1960Remija@Jackie_officiel tafuteni kwakwenda msitupgie makelele walipokua wanalalamika wengne kua mnaharibu ligi si mlikua mnashangilia tu ubingwa wa mchongo, mmeletewa ubaya ubwela mpaka mjitaje wenyewe
@Ramso51938739@SportsarenatzTz yanga na sheria cjui kanuni wap na wap, nyuma mwiko ni matapeli kwenye ligi hii watu washapga kelele wamechoka sasa subilini mtaenda sio cas tu mpaka speed
@kefakayombo123 nyuma mwiko viongoz hamna kuna matapeli, na mech na jkt walikutana na refa mwngne nae ni ni sheria za mpira ndo zinaongea kawanyoosha balaa walitaka kuleta mambo ya yaleyale