@MkulimaKante Alafu mambo walokole wanatuhubiria sisi tumkiri kristo as if sisi Yesu hatumjui waache,,hilo suala wawahubirie waislamu na wapagani ndo hawamkiri Yesu
Bro To Bro Hakikisha Hukosi Perfume Hata moja nzuri kati ya hizi. Utakuja kunishukuru baadae
1. Nitro Red
2. Oud Maracuja
3. Tobacco Vanilla
4. 9 PM
5. Reef33
6 The Player 2
7. Barcode
8. Tools box
9. Hugo Boss
10. Noble Red
11. Intense noir
12. Creed
13. Supremacy
@master_plan9 Kama maji yakutosha ni mpunga backtoback yai nikitoa gunia 200 nikiweka 200 tena so gunia 400 mwaka mmoja million 40 mjengo mkali kwisha ,,inakuwa muendelezo kila mwaka gunia 400 kisasa kbisa😇