Hii Gari inauzwa $4600 Kama Tsh 12M Inakua imefika Bandari salama..
.
Ikifikia Bandari salama sasa hio Kodi Yake Kama Imepita Straight of Hormuz..
.
Chuma ikifika tu Mama anataka 18.3M utafikiri imetengenezwa Unguja..
.
Angalia hapo chini Kikotoo cha Tiaraheii utashangaa..
Putin anaendelea kuwavuruga Western kwa makombora ya ajabu ajabu.
Unaambiwa sehem yalipodondoka haya makombora hata moto haukuwaka. Wamekuta majivu tu.
385,000,000 Tsh 🔥
Five bedrooms | 2Living room | Dining | Kitchen | Store | Laundry | Gym | Office | Public toilet
@sedecbuilders
+255 747 608053
[email protected]
📍 YWCA BUILDING posta mpya Dar es salaam.
UTABIRI WA KUTISHA ULIOFANYWA NA NOSTRADAMUS -BABA WA UTABIRI
UZI 🧵
Nostradamus ama BABA WA UTABIRI DUNIANI. Unamjua ni nani?
-Kama unadhani katuni za Simpsons zinatabiri basi humjui vizuri Nostradamus
Kuna bwana mmoja huko jijini Saint-Rémy aliyeitwa Michel de Nostredame, ambae pia hufahamika kama Nostradamus, bwana huyu alikuwa bonge la kichwa, alipata umaarufu kutokana na kuwa mtaalamu wa nyota, daktari na mwanafarsafa wa Ufaransa.
Michel de Nostredame aliandika kitabu kilichoitwa "Les Prophéties" (yani Unabi), kitabu hiki kilikuwa na mkusanyiko wa mashairi 942 ambazo zilidaiwa kutabiri matukio makubwa yajayo.
Nostradamus alizaliwa Desemba 1503 hadi 1566, alikuwa mfamasia na tabibu wa Ufaransa, pia mnajimu na mwaguzi au mtabiri wa mambo yajayo.
Utabiri wa Nostradamus: Maono ya Vita vya Kidunia vya 3 kati ya 2025-2027 na Jalada Ngumu la Great Quatrains
Kitabu hicho Nostredame alikichapishwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1555.
Shuka chini 👇🏽
Ukishakuwa Wa Kiume Hamna Cha kuogopa zaidi ya Uoga Wenyewe ,
Kama Ni Kufa wote Tutakufa ,
Kama Ni Aibu , Itasahaulika Haizidi ata wiki ,
Kama Ni Kufilisika , Unaweza Kupindua Meza Tena ,
Kama Ni Kufukuzwa Kazi , Unaweza Kutengeneza Fursa tena,
Hakuna Cha Kuogopa qmmk