@bbcswahili Yaani BBC nyinyi kila siku ni kulipoti visa vya Iran tu Mdogo wake Netanyahu ameuwawa kwa shambulio hayo hamyaoni Media ya ajabu sana hii Kuna muda
@DaimuManafi@godbless_lema Yaani kaka laiti kama Maduro angekuwa anafuata na kusikiliza Maelekezo kutoka Washington wala usingesikia Maduro ni muuza madawa tena hata angeongoza mpk azeeke Wala usingesikia chochote shida ni Maduro kuwa Mjamaa hapo tu.