@Sativa255 Mkakati huu wa kumuachia mwamba. Lisu anawaumiza sana kichwa coz kukaa ndani ni tatizo bado akitoka ni ttzo pia, all in all njia sahihi ni kumuachia walau waweze hata kidogo jisafisha, namna ya kumuachia wameona wamtumie #ccm b kuongea hadharani walau ionekane kuwa alitetewa.
@IAMartin_ Ndio maana jamaa wamemuweka kwa wafungwa wanaosubiri kufa maana wakimchanganya na wanao toka kuna elimu atawapatia na kuwasanua wote waliofungwa kwa kuonewa.