No force can stop an idea whose time haa come!
This is Mbeya - the stronghold of CHADEMA with a very rich and fertile land in #Tanzania
In October 2025, during #TanzaniaMassacre thousands were killed wantonly by police and security forces even street children and Mbeya still bears the scars! Yesterday thousands filled fearlessly the CHADEMA rally led by @HecheJohn to demand justice, #FreeTunduLissu and constitutional reforms!
Muda wa mabadiliko ulishawadia CCM na Samia wakagoma kwa risasi na mauaji halaiki kutoka na kukubali matokeo halisi ila hawawezi kushindana na mabadiliko! CCM - Mliwaua sana wana Mbeya ila oneni walivyo majasiri na bila woga wamesimama kuhesabiwa! Mtawatisha nini mamilioni waliowakataeni hata baada ya kuwaulia ndugu zao!?
Mjiandae kuondoka hakuna kingine!
Chadema hamtaweza kukiua kwa sasa kwa sababu Chadema ni yetu sote hadi tutakapopata mabadiliko - tusio wanachama na walio wanachama!
Mjipange kuondoka kutuua hamtaweza kutumaliza
#TutaelewanaTu
We Mwaipopo umemvisha mhuni mwenzako collar aonekane mkristo wakati juzi ulijitapa msikitini na balaghashia ila umeshaharibu na kuingiza udini! Hii haina reverse na umeshaacha ushahidi kwa dunia kuwa mnakuza maksudi religious tensions!
Hawa goons hakuna cha ulinzi shirikishi na @tanpol wanakuacha uendelee na vitisho kwa sababu wewe ni kobe tu juu ya mti uliyewekwa na Samia Suluhu
Usitishe wananchi mamilioni ukidhani uko salama! Maandamano ni HAKI na si favor!
Na #TutaelewanaTu
Mbeya Haya Sio Mapokezi Bhali Ni MASIFAAA
Hii Video Msajili Wa Vyama Akiiona Anakasirika Anatamani Aiandikie CHADEMA Barua
MaCCM Yanafikiria Kwenda Polisi Kuomba Msaada Maana Wamezidiwa
Ma Anko T Wa Siasa Wa CHAUMA Wanasema Ni A.I
Kwa Kifupi Wanangu Wa Mbeya MMETISHA SANA LEO
Mungu akupe afya njema kiongizi mzalendo mpenda haki upo nyuma ya chuma hizo sababu walio kuweka wanahofu nawewe kwani wanaona wameshindwa kushindana majukwani kutokana na ushawishi wako kwetu lakin wewe ni mshindi wamejiweka madarakani kwa damu za ndugu zetu lakin hawana amani.
@mangekimambi Hawa mbogamboga dawa yao inachemka kule Bungeni Ulaya na Marekani,wakimaliza wale wakubwa ni lazima katiba mpya na tume huru zipatikane;hapo ndipo tutakapojipigia Ma-CCM kama ngoma!!
Wametuchezea sana hawa washenzi ila safari hii wamemeza ndoano,hawatoboi!!
Serious question, hivi kweli CCM wanaangalia hii hali na bado wanadhani kuna possibility ya wao kuendelea kushikilia nchi bila ridhaa ya Watanzania??
Kweli Kikwete anaangalia hii hali na anaendelea kumdanganga kimama kuwa waendelee tu kung’ang’ania nchi kinguvu??
Mtanzania mwenye akili timamu akiona hii anajua kuwa kama haki isipopatikana haraka basi October 29 ITAJIRUDIA, ITS ONLY A MATTER OF WHEN, NOT IF!!!!!!!!!
Tarehe 22 Juni Kamati Ndogo ya Haki za Kibinadamu, kwa kushirikiana na Ujumbe wa Bunge la Afrika-EU, ilichunguza hali ya haki za binadamu nchini #Tanzania.
Majadiliano yalihusisha jopo ikiwa ni pamoja na watetezi wa haki za binadamu pamoja na wawakilishi kutoka Tume na EEAS.
Ilikuwa ni pamoja na Agnes Polepole Lendov dada wa balozi wa zamani wa Cuba Humphrey Polepole ambaye alitekwa mwezi Oktoba na kutoonekana tangu wakati huo. Pia Alice Magabe mke wa Tundu Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania na amekuwa akisota gerezani akisubiri kesi ya tuhuma za uongo za uhaini.
https://t.co/pHznM8Q8Qj
‼️HABARI MBAYA KUTOKA ULIWA-NJOMBE‼️
Kijana huyu anaitwa Kastor Kasmily Mgina, Baba yake ni Mwenyekiti wa Chadema Kijiji cha Uliwa( kwa wanaokumbuka hiki kijiji Chadema tulizindua mradi wa Maji Miaka mitatu iliyopita).
Wakati baba yake akiwa kwenye mkutano Njombe Mjini hapo jana mida ya saa 11 hivi jioni, mtoto wake aliitwa kwenye Ofisi ya Kijiji na kuambiwa anadaiwa faini kwa kutokuhudhuria shughuli za Maendeleo siku ya jnne iliyopita, hivyo akatakiwa kutoa faini ya Sh 20,000Tsh.
Kijana akampigia simu baba yake ili aitume hiyo pesa, wakati wakisubiri akatokea Mtendaji wa Kijiji anayefahamika kwa Majina ya AMOS LECHIPYA ambaye alipomuona tu huyu kijana akawaambia Mgambo wamshughulikie maana hao ndo vijana wanaosababisha kijiji hakitulii.
Mgambo aliyefahamika kwa jina la FERISI MHULE na mwenzake mmoja walichukua matawi ya miti yaliyokauka na kuanza kumshambulia huyu kijana mpaka waliporidhika wakamuachia.
Baba yake alipopata taarifa alilazimika kurudi kijijini haraka na kumchukua mwanae na kumpeleka Hospitali ya UWEMBA ambako kijana huyu alifanikiwa kupata matibabu.
Sasa, ujumbe huu ni muhimu uwafikie waajiri wa huyo Mtendaji na huyo Mgambo ili hatua stahiki dhidi yao zikuchuliwe wakati sisi tukiendelea kuwasiliana na wanasheria wetu juu ya hatua za kuchukua kwa Mtendaji na Mgambo walioshiriana kushusha kipigo kwa huyu kijana.
Ukatili huu, hautavumilika, na hawa waliofanya tukio hili la kinyama tutawafanya kuwa wa mfano.
MKE WA LISSU AKIONGEA KWA UCHUNGU MKUBWA SANA NDANI YA BUNGE LA ULAYA, ALIPOKUTANA NA KAMATI YA HAKI ZA BINADAMU YA JUMUIYA YA ULAYA https://t.co/jzAR6mLG9j
Mungu mwema nipo salama nimerudi barabarani kazi ni moja tu Kuhakikisha TUNDU LISSU anakuwa huru na Katiba Mpya inapatikana. #MsiogopeTunashinda#7_7Tunatoka.
Check out Thraets' recent investigation titled “The Nairobi Corridor: How Kenya Became the Hunting Ground for Foreign Intelligence Services Targeting Dissidents, Activists, and Refugees.”
The report documents 28 incidents between 1999 and 2026 in which political dissidents, journalists, activists, and refugees were targeted on Kenyan soil by foreign intelligence services or through cooperation with Kenyan security agencies. According to the investigation, these operations involved actors from 12 different countries, with outcomes including forced repatriations, disappearances, and several killings. Notably, our report found that no perpetrators have faced criminal prosecution in Kenya for any of the documented cases.
My case is top! As a victim of #EnforcedDisappearance and a person who has documented HUNDREDS of #enforceddisappearances I will ensure that EVERYONE involved in such cases including supporting or even spinning to cover up these crimes will be held accountable
This report also explores why Nairobi has become a focal point for these activities. As a regional hub for exiled political figures, journalists, and civil society organisations, the city attracts individuals seeking refuge, but that same concentration has made it easier for governments to locate and target critics abroad.
You can read the full investigation here:
https://t.co/0D031JyxPr