Pamba 0-3 Yanga and every single goal was set up by the maestro Allan Okello.
What a talent! ✨
Who else is loving Okello’s magic today? 👏🏾
#AfricanFootball
Jesca anasema Rais Magufuli alikuwa hapendi sherehe kwani alikuwa anaona ni gharama. Rais Magufuli hakuwahi kuhudhuria sherehe ya harusi ya mtoto wake yoyote yule. Tena siku ya harusi ya mtoto wake wa kiume, Magufuli alienda uwanja wa Taifa kuangalia mpira wa SIMBA na YANGA.
🚨 UPDATES ✍️
➡️ Mwamuzi wa kati Ally Mnyupe amefungiwa mizunguko mitatu kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya NBC PL 🇹🇿 kati ya Azam vs. Yanga
Mnyupe alishindwa kutafsiri sheria baada ya Fuentes kumchezea rafu Dube kwenye eneo la penati
🚨UPDATES, DUBE
Prince Dube ameondolewa kikosini baada ya kupata majeraha jana kabla ya mchezo vs TRA
Yanga wanaenda Dodoma bila Dube aliyeongezeka kwenye orodha ya wachezaji wenye majeraha kikosini
❌Yanga SC Injury List🤕: Dube, Bacca, Edmund, Mzize, Boka, Depu
🚨Bacca kuhusu kiwango cha Okello
“Dogo janja yupo vizuri ila naona angeenda Gym Kwa dezeni akaze nyama watamuua😂 pia Pacome alikuwa kama yeye Dawa ni Gym “
Kuna kucheza na Yanga, afu kuna kucheza na Yanga yenye Prince Dube
✅Nakubaliana na wengi, anaweza asiwe mfungaji mzuri, ila ni hatari na anajua ajiweke wapi kupata nafasi huru
Hakuna beki anafurahi kucheza dhdi ya Dube, HATULII, HACHOKI
Huyu ndo mchezaji hatari zaidi wa Yanga
🚨 DEAL DONE 🔰
➡️ Mshambuliaji wa kati Laurindo Dilson Maria Aurélio 'Depu' (25) raia wa Angola 🇦🇴 amejiunga na Young Africans 🇹🇿 akitokea Radomiak Radom ya Poland 🇵🇱
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu hatimae Yanga wamempata.
✅ It's all Done & Sealed 🔒 🔰