✊🏽 #FreeTunduLissu
Today Lissu exhibited his legal expertise in court and proved why he is one of the best human right lawyers in the history of #Tanzania
Yataisha tu! Hawana namna na wanajua!
“Mchango Wako, Sauti Yako.”
Ukichangia, unakuwa sehemu ya safari ya kujenga demokrasia, uwajibikaji na Tanzania yenye fursa kwa wote. Mchango wako ni sauti yako.
M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969
CHADEMA NMB: 22606600140
Aksante sana Cde President Dkt Lazarus McCarthy Chakwera na Ujumbe wako wa Jumuiya ya Madola.
Mmetutendea haki, na hakika mmesikiliza sauti zetu.
Mwanzo mpya Tanzania bila ukweli, haki na uwajibikaji ni ndoto za alinacha!
Tunatazamia utekelezaji wa mwito wenu!
My brother SC Tundu AM Lissu back in court for his staged treason trial. Rallying behind him all the way. Killer Samia Suluhu is trying so harder to implicate him, but been more than a year of failure. VIVA President Tundu LISSU!!
Hang in there, my brother Tundu Lissu! Leo watesi wetu wamejitia tena kidole. Wamezuia mikutano kwa kukuhofia. Naomba Mungu akulinde na akutunze. Utatoka na utakuwa Rais wa Tanzania. Taifa letu litakuwa la kupigiwa mfano. Stay stronger, Idolo! Mungu ni mwema. Free Tundu Lissu!