Mama tukumbuke wafugaji tuliopelekwa luhogi tunafilisiwa tuaambiwa nieneo letu lakini wanakodishiwa wakulima tukilalamika hakuna wakutusaidia tunapigwa danadana watu wanaendelea kulima serikali iko wapi twende wapi
Serikali iangalie wafugaji waliopo luhogi wananyanyazwa sana na viongozi nikama hawana mtu wa kuwatetea walipelekwa kama eneo la malisho lakini wamekuwa uziwa mifugo yao maana hao hao viongozi wanawakodishia wakulima kwa siri wakosa mahali pa kulishia
Serikali kuu isaidie watu wa luhogi kivukoni wilaya ulanga wafute waliambiwa wapeleke ng'ombe wao huko ni sehem ya malisho lakini viongozi hao wanakodisha mashamba kwa wakulima wakilalamika wanaambiwa wacha wavune ng'ombe akikanyaga shambani wanashikwa wanauzwa
Limejengwa josho lakini halitumiki na hakuna ng'ombe anayekwenda huko kwa sababu kuna mashamba akikanyaga shambani wanashikwa wakikanusha hifadhi wanakamatwa mkuu wa wilaya yupo lakini viongozi wa chama ndio wanafanya haya waoneeni huruma nao ni watanzania
Serikali iangalie wafugaji waliopo luhogi wananyanyazwa sana na viongozi nikama hawana mtu wa kuwatetea walipelekwa kama eneo la malisho lakini wamekuwa uziwa mifugo yao maana hao hao viongozi wanawakodishia wakulima kwa siri wakosa mahali pa kulishia
Meneja TANESCO Kilimanjaro anatupa shida sana niliomba umeme tangu mwezi wa nne tukapewa mkandarasi amemaliza mpaka leo mara bajeti mara usafiri kuna haja gani ya kupiga kura kama serekali hatujali? mwaka unaisha
TANESCO mnatuchosha sana hata leo sikukuu ya uhuru unatunyima umeme sasa kuna uhuru gani? Mvua sina mafuriko kila mahali kumbe tatizo sio maji ni uamuzi wa watu