Najaribu kujiuliza hivi hii FACE APP ingekuwa ni mtu(programer) amepania kuiangamiza dunia through kupandikiza virus kwenye hiyo APP.sijui wangapi tungepona.amakweli ukitaka kuangamiza ulimwengu.naamina via technology dunia inaweza kuangamiza chaaap😂😂😂
@moodewji@IFC_org Very true.idadi ya wahitimu kwa sasa wasio na ajira mtaani ni kubwa sana.ila kwa wazo Kama hili litasaidia sehemu kubwa Sana kuleta utatuzi wa soko la ajira.lakini pia endapo watu Kama nyie mliojaribu na kufanikiwa mkiwa mnatoa elimu wazi ni vipi mlivyojaribu na kuweza