Appreciation Tweet kwa Kila mwana Twitter anayetumia nafasi yake kwenye kupaza Sauti kwa Kutweet, kulike, kuretweet na kukomenti pale mamlaka zikizingua ๐
JUKUMU la MAHAKAMA ni KUTENDA HAKI kwa mujibu wa ibara ya 107A(1) ya KATIBA ya Tanzania. Kumpeleka MTUHUMIWA kwenye MAHAKAMA "ILIYOFUNGWA MIKONO" ni UKOLONI. Ni HAKI ya mtuhumiwa kufikishwa MAHAKAMANI ili atendewe HAKI. Hatupaswi kuwa na SHERIA zinazo KIUKA HAKI za watu.
OFA MAALUMU
Pata HARD COPY ya Kitabu cha Ujasusi kwa 25,000 badala ya 80,000/=
Lipia kwa
0715865544 au
0755865544
(Yericko Nyerere)
Tuma majina yako na Mahali ulipo.
Dar ni free delivery, nje ya Dar nauli 8,000
@privaldinho Jomba @privaldinho kwa ulichoandika usishangae wana wakakupiga vita kuwa wewe ni Shabikibwa Young Africans... Ukiandika mazur ya Simba unaonekana ww ni wa msimbazi pure๐คฃ๐คฃ๐๐คฃ๐๐คฃ