Anaandika Dr George Kahangwa
"Mtanzania mwenzangu,
Wakati wa kampeni, utaona viashiria vya namna nyingi vya jinsi nchi yetu ilivyo tajiri. Utaona fahari ya fedha, magari, mabango, mavazi, nk. Hivyo vyote vimechumwa katika rasilimali za Tanzania hii hii."
@kalegamyeh Leo Daktari umeahamua kutupiga na teems zenu sema hii yako umenikumbusha kuna jamaa anasema walikuwa wanapishana Ile ajali ya meli kwenye daladala pembeni kuna mtu yupo kimya kumbe ni mtaalamu wa mambo hayo jmosi moja yupo home kwake anakuta yule anamsalimia Mimi Jirani yakohapa