Ningependa Kama itakupendeza uchagie kwenye mfuko wa taasisi ya @Tuvukewoteorg ambayo kwa sasa inaendesha mradi wa Mentoring Program kwa shule 20 Tanzania ili kutokomeza Mimba za Utotoni mashuleni, wanafanya vipindi mashuleni, transport pamoja na materials Ni tatizo #MoGifts2020
It’s important to spend your young years trying different things. Otherwise, you may live a long life unaware of what you’re truly passionate about. https://t.co/9GLc3kaGK4