Viongozi wa Simba wanaamini Saido ataongeza nguvu kwenye safu ya Ushambuliaji ambayo kwa sasa inaonekana kumtegemea zaidi Clatous Chama. Saido atakuwa mbadala sahihi wa Chama kama atakuwa hayupo au kocha ataamua kumpumzisha. Lakini pia anaweza kucheza nafasi zaidi ya moja.
@mdudechadematz @SuluhuSamia@VodacomTanzania Huwezi kutuma pesha kwenye mitandao ya simu wakati makato ni makubwa bora umpelekee tu unaokoa pesa nyingi zisikatwe