#AJALI: Treni ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali asubuhi hii ya Novemba 2, 2018 baada ya mabehewa yake mawili kuanguka eneo la Karakata, Ilala na kujeruhi watu 9. Kamanda wa reli amethibitisha.
Wakati Facebook Inainunua Whatsapp Moja Ya Vitu Ambayo Walikubaliana Ni kutojihusisha Na Matangazo Katika Kipindi Cha Miaka 5 Ya Kwanza Hata Hivyo Msemaji Wa Whatsapp Chini Ya Facebook Ametangaza Kuanza Kuonekana Matangazo Hayo Kwenye Sehemu Ya #Status Mwaka 2019.
Cc; @achuokey
Tunajua Kama Watumiaji Wa Internet Hawapendi Kuona Matangazo Ndio Maana Tuliifanya Whatsapp Isiwe Ya Matangazo, Nia Yetu Ilikuwa Kutengeneze Kitu Ambacho Kingewasaidia Watu Na Sio kuwachukiza" Alisema Actom...
~
Akiongea Na @Forbes, Actom Amesema Anajutia Maamuzi Ya Kuiuza Whatsapp Na Siri Za Watumiaji Wake Kwa Faida Kubwa, Maamuzi Ambayo Yanamfanya Asifurahie Kuona Whatsapp Inakua Ile Ambayo Hakuifikiria Wakati Wa Ugunduzi.
Kwenye Mahojiano Na Jarida La #ForBes, Actom Amethibitisha Kuondoka Facebook Kwa Kile Alichokiita Kutokuelewana Na Viongozi Wengine Waliopendekeza Whatsapp Kuonyesha Matangazo. ~
Tofauti Na Application Nyingine Kama #Facebook Na #Instagram Ambazo Zote Zinamilikiwa Na Kampuni Moja, #Whatsapp Imebaki Kuwa App Pekee Isiyoonyesha Matangazo Ya #Biashara.
Kama Upo #Daressalaam Muda Huu Sikiliza 98.5MHz, #MsukumaMsafi Rodger 360 Na Khalid Six Watakupigisha Mastori Ya Burudani Na Ukitaka Kusikia Ngoma Kali Mcheki Dj Easy Untouchable Halafu Mwambie Akubonyezee Ngoma Unayoikubali #24BaseOnAir#TunaMwagaMaji
Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) ikiongozwa na mwenyekiti, Bw. Salum Shamte, wamemtembelea Gavana wa @BankOfTanzania, Prof. #FlorensLuoga na Manaibu Gavana, kufanya majadiliano yenye lengo la kuboresha mahusiano ya kikazi miongoni mwa taasisi hizo.
Utakuwa Na Arosto Ya Muziki Mzuri? | Ikifika Saa Saba Mpaka 10 Jioni Mtoto Mzuri @Official_Marii2018 Anadondoka Am24Radio Kukata Arosto Yako.
Kama Upo #DarEsSalaam Tegesha 98.5MHz Kwa Taarifa Zaidi.
Cc; @rodger360 x @khaled_sixs & @djeazy_untouchable
#AM24Radio#TunaMwagaMaji