"Tunaposema 'POPOTE INATIKI' tunamaanisha mteja anaweza kufanya miamala popote pale masaa 24 kupitia mifumo yetu ya kidijitali ikiwamo SimBanking, Internet Banking, TemboCard au CRDB Wakala," Dkt. Joseph Witts - Afisa Biashara Mkuu, Benki ya CRDB.
#CRDBBank#PopoteInatiki
Naungana na Watanzania wenzangu kuomboleza kifo cha Ndugu @amufuruki . Binafsi nimepokea taarifa za kifo chake kwa masikitiko makubwa. Nawapa pole familia na @tpsftz kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya Ndugu Mufuruki mahala pema, peponi.
25!!! This album is such a masterpiece and to be the first thing you hear when it drops and to have done it with the late great phife dog wow!! Thank you LA
Tunawatakia Waislam wote na Watanzania kwa ujumla Eid iliyojaa furaha na amani.
:
Matawi yetu hayatafunguliwa siku ya leo.Endelea kufurahia huduma zetu kupitia SimBanking,SimAccount,Internet banking, mashine za ATM na Mawakala wa CRDB. 𝙐𝙡𝙞𝙥𝙤 𝙏𝙪𝙥𝙤!
#crdbbank#eidmubarak
Brother and Sisters from #Tanzania lets be the ones to narrate our stories,share and protect what’s ours! #unziptanzaniachallenge participate to this campaign and challenge many people to participate too!
Vile wanapambana kutuzuia wananchi tusitoe maoni na kupata habari mitandaoni 🤣🤣
Tag wale wanaofanya kazi ya uvuvi unaowashinda 🤣🤣🤣
#TutaelewanaTu#ChangeTanzania