@PauloNaSilla@babalao__ Kuna chama kimoja hakipo sawa na vyama vingine,chenyewe hakisumbuliwi na polisi, kinasaidiwa kubaki madarakani na Tume ya uchaguzi, ngoja kwanza nikatafute mkate wa watoto wangu nitarudi
@zed_officially Naunga mkonyo hoja,kuna bar ipo Dom kule uzunguni siitaji jina maana ilikuwa maarufu sana miaka mitatu yani ulikuwa ukichelewa kwenda hupati parking wala kiti cha kukalia ukiingia utasimama hadi majogoo juzi nimeenda hakuna watu tena ndio kapaboresha .