@Jaguar_455 Chukua galaxy hilo,ukitaka kujibebea miaura unatakiwa kuwa tofauti.
Yaani staff wa kike kwenu wote wana 17 nawewe unaungana nao๐,kaa pixel au samsung humo.
@LuckyJubz@mTusiOriginal Haya huyu ameiba mtaji wa wakala,kala kiberiti
Mwingine kaiba sufuria uwan kala kiberiti
Yule pale kaitiwa mwizi tu,kala kiberiti.
Mwingine wivu wa mapenzi kaitiwa mwizi,kiberiti.
Tutakuwa wawajibikaji bora sana,mpaka siku hujaiba unamwagiwa mafuta uchomwe ndio utaelewa.
@LuckyJubz@mTusiOriginal Pesa inauma sana,lakini hatuwezi kubaliana kwamba wezi wachomwe moto wakiwa hai.
Hata nikisema nina uchungu mwizi huyo achomwe bado haliwezi kuwa ni jambo sahihi.
@LuckyJubz@mTusiOriginal Shida ni kwamba tukisimama mbele za Yesu unakuta ni jana tu umempiga boss mazingira ofisini kwako.
Je,aliye msafi ni nani mbele yetu??basi na awe wa kwanza kutoa hukumu.
Embu nambie mtu akiiba simu yako ni halali kuuawa kaa kuchomaa moto???
@RobinsonShoo4@mreno255 Yangu sio mawazo ni facts,wewe ndiye una mawazo ambayo hayapaswi kukubalika na mtu ila yanatakiwa kuheshimiwa,kusema kwamba hakuna polisi tajiri ni mawazo ya ajabu kabisa wala hupaswi kuyatetea.2026 hutaki kuishi kwa kuamini pekee bali kwa kujua mambo.
@RobinsonShoo4@mreno255 Mimk sitaki ubaki na unachokiamini nataka ujue kwamba wapo polisi wana hela na wanaishi maisha ya ndoto za wengi ila hujaamua kuwaona.
@RobinsonShoo4@mreno255 Kumaintain status kwa maana wanakosa hela ya mboga!!!na ni wafanyakazi wangapi nchi hรฌi unawajua ni matajiri na wanaishi kitajiri kuzidi hao mapolisi??