Alphonce Muyinga a.k.a @alphanga๐
"Upinzani ni dhambi ata shetani alipo jaribu mbinguni alifukuzwa, @ccm_tanzania ni chama kikubwa sana kimekamilika ndio maana ata @zittokabwe ccm tumempa mke tena ni dada yangu' juzi alisema dada shemeji anatamani kujitoa ila anahofia wadhamini

Ndg. Alphonce p. Muyinga a.k.a @alphanga akimnadi mgombea ubunge jimbo la muhambwe kigoma Mh #FrolensSaminzi
"Maendeleo hayana chama lakini kipo chama kinacho leta maendeleo kwa watanzania ambacho ni @ccm_tanzania ata kigoma ya 2021 ni tofauti ya 1990 wana muhanbwe chagua ccm;