@Liberatus80 She had a choice to refuse the role and step down, and the presidency would go to the next person inline, I guess the speaker of Parliament or the Chief Judge. But she chose to take the role and try, and that's how brave she is...
@VitukovyaChepe@millardayo Huyo ni wa huko huko Bara, alikuja Zenj kwa kuazimwa tuu alivyoazimwa Charles Hillary, Eng Zena na DG wa ZBC. Ukitoa Eng Zena, hao wengn Uzenj wao mpk uunge unge sana
@Joshua_cheyo @moz_ismail@fatma_karume Shida wazanzibari walivyokuwa wakipigia kelele mfumo wa muungano mlijifanya viziwi, na ndio maan waTanganyika weng hawakuonesha kukerwa na mfumo wa Muungano wakati wa Tume ya Jaji Warioba. I'm happy now mumeona mapungufu ya huu mfumo wa Serikal mbili baada ya Mzenj kushika hatamu
@zPopzz@libsoftiktok@nyuniversity The word "Satara" in this hadeeth means "'Cover from Embarrassment". The translator added the word "SIN" in the brackets to indicate his understanding, not the original wording of the hadeeth...
@yunusi_jr@hajiizo1@PresenterNoah hiyo ni shida ya bongo wenyew, sio wazenj. Sheria ya Bongo inamtambua mTZ, na mzenj nae ni mTZ. Sheria ya Zenj inamtambua mzenj, sio waTZ wote ni wazenj. kama kuna shida bas bongo nao watafute namna