@RevocatusMagum1 Wakiongoza Kigoli kimoja wanaanza kuridhikaa spid inapungua ... ubingwa away hii utaamuliwa kwa magoli ..simba atauma meno game zote lkn magoli ya kawaida itaicost timu kwa kupoteza nafas nying ,kupunguza pressing..lkn uto anakikwazo cha kupoteza kbs au sare ...namm naiona sare