IT engineer(computer science base)| #networking & #programming issues | Team Yanga #CEO of vinch’s company |end we’re all die| be humble|chill n trust in Allah
Daktari anayechukiwa zaidi na makampuni ya dawa, chakula na hospitali duniani,
Alitibu na kuponya magonjwa yote ikiwemo kansa na kisukari, hadi wenye vipara.
Njoo ujifunze namna ya kujitibia kupitia chakula kwa misingi ya Dr. Sebi.
RETWEET Wengi Wajifunze.
Moja ya changamoto kubwa inayowakumba vijana wengi ni kushindwa kujiambia ukweli.
Mambo 10 ya kukusaidia kujitafakari na kubadili kabisa maisha yako.
ReTweeT Wengi Wajifunze.
🧵
Lazima kujifunza namna ya kutrick mind ili iku-support kwenye maisha.
Kuamini kwamba jambo hilo ni gumu lakini unatoboa, ni ushindi mkubwa.
Mafanikio yanaanzia kichwani.