AMPHIBIA mkiambiwa mnasajili wazee mnakuwa wakali haya mtu kapewa UGALI jana PANCHA tayari na hapa bado hamjakutana na JKT guu la shingo guu la roho ππ
Tajiri ameamua na hakuna wa kurudi nyuma wale wapiga mruzi saivi wanatetemeka tu acha msimu uamze wale wazee wa miaka ya kustaafu watajua hawajui Asante boss @moodewji heshima ya brand ya @SimbaSCTanzania sasa inarudi.