Nani ana clip yoyote ya Hayati Dr Magufuli aiweke hapo kwenye comment tujikumbushie kabla mwaka haujachanganya ?
Nb: Nimekuwekea baadhi ya video zake kwenye comment 👇
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ghana Raphael Dwamena amefariki leo kwa kuanguka ghafla uwanjani akiwa anaichezea Timu yake ya KF Egnatia ya Albania.
Dwamena amefariki uwanjani akiwa na umri wa miaka 28 baada ya kuanguka ghafla dakika ya 24 ya mchezo wa timu yake ya KF Egnatia dhidi ya Partizani ya Ligi Kuu ya Albania ambapo ilikuwa 1-1.
Dwamena amewahi kuzichezea Timu mbalimbali barani Ulaya zikiwemo Levante na Zaragoza za Hispania.
#MillardAyoSPORTS