Je, una picha au video ya mtu akiuawa au aliyefariki wakati wa uchaguzi Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba?
Weka picha/video hiyo hapa na jibu maswali yatakayofuata. Wasaidie Human Rights Watch kurekodi kilichotokea. https://t.co/bWZtUtJex2
Huyu HOMERA ndie aliemuuwa SHADRACK CHAULA leo anatamba kwa kupiga picha na watoto wake huku baba yake CHAULA hajui mpaka leo alipo mtoto wake.
Chaula alichora PICHA ya Dikteta jike na kisha akaichoma, wakamkamata na kumfunga gerezani na baadae wananchi wakamlipia FAINI akatoka kuendelea na maisha yake.
Akiwa nje huyu HOMERA alikuwa anaumia sana kumuona CHAULA yupo huru na kwanini kalipiwa faini na wananchi, akaamua kumteka na kumpoteza mpaka leo HATUJUI CHAULA YUPO WAPI.
Afu leo anaona fahari kutupostia yupo na watoto wake kwamba yeye kama baba anaestahili sana kuona wanae wakikuwa na sio baba CHAULA.
Hii picha inaumiza sana, na HUYU huyu HOMERA ndie aliehusika kumteka ndugu yangu MDUDE aisee wewe HOMERA ipo siku utalipa haya maumivu tunayopitia watanzania.
UTALIPA TUU MZEE.
Thank you and more and more thanks
to @SenatorShaheen and @SenTedCruz for this historic legislation as we the people continue to seek justice for victims and fight for rule of law and democracy!
We will always cherish you for the rest of our lives.
@Samk372@SenateForeign Thank you Sam - all we want is justice, freedom and rule of law 🙏🏽
We do this for the cause not the applause! Thank you also for standing with us!
Today it has been a good day for the people of #Tanzania as @SenateForeign committee has passed the bipartisan bill S4577 that would require a comprehensive review of the U.S.-Tanzania relationship following significant political violence and democratic backsliding in Tanzania
Our heartfelt gratitude to @SenatorShaheen and @SenTedCruz for this historic legislation as we the people continue to seek justice for victims and fight for rule of law and democracy!
https://t.co/PbzRuwYik6
Trust me, hata Samia ni chawa wa kundi dogo sana ambalo ndilo linaimiliki sisiyemu.
Hao kina Hapi ndiyo kabisa hawajui chochote kinachoendelea.
Nakumbuka kuna info moja niliwahi kusogezewa DM kwamba jinsi wananchi wanavyoulalamikia mfumo huku uraiani, ndivyo hivyo hivyo Samia analalamikiwa mfumo huko ndani.
Kuna post moja aliwahi kupost @mangekimambi akasema, issue si Samia, issue ni mfumo wa sisiyemu.
Habari njema ni kwamba huo mfumo upo tigirivyogo, hizi ni habari tunazozipata ndani ya mfumo wenyewe.
Kuna namna majamaa yamevurugana, na sababu ni hii kasi ya kuvunja Muungano. Guys, hili jambo la Muungano halijaja kama hoja tu Baraza la Wawakilishi.
Kama bahati mbaya, Samia ndiyo top ajenda yake hii, na ni mpumbavu tu anaweza kudhani Samia hana Uzanzibar.
Nachotaka kusema ni kwamba wakati huu mfumo unapoteana, sisi tupo karibu na ukombozi.
Tutoke kwa wingi sana 7/7. Hakuna kitu cha kuogopa. ✊🏽
Madam Under Secretary,
With respect, I urge you to reconsider and withdraw this statement until accountability is placed at the center of U.S.-Tanzania engagement.
The Tanzanian people have endured years of political repression, enforced disappearances, arbitrary arrests, torture, and the killing of citizens whose only offense was exercising their fundamental rights. Families continue to search for loved ones who vanished. Victims continue to wait for justice. Yet those responsible remain protected by the very institutions now being praised as partners in progress.
A statement highlighting commercial opportunities and bilateral cooperation without first demanding accountability risks sending a dangerous message: that grave human rights abuses can be overlooked when strategic or economic interests are at stake. Such a message undermines America’s longstanding commitment to democracy, human rights, and the rule of law.
Religious freedom and freedom of expression cannot be meaningfully advanced while those who suppress these freedoms face no consequences. True partnership is not built on silence in the face of abuse. It is built on principles, transparency, and accountability.
Before expanding cooperation or celebrating progress, the United States should publicly call for credible investigations into killings, enforced disappearances, torture, and election-related violence, and insist that those responsible—regardless of rank or position—are held accountable. Justice for victims must come before business as usual.
The people of Tanzania are not asking the United States to choose between partnership and accountability. They are asking the United States to ensure that any partnership is grounded in accountability. Anything less risks legitimizing impunity and abandoning those who continue to suffer under it.
Respectfully, I urge you to withdraw this statement and replace it with one that makes clear that accountability for human rights abuses is a prerequisite—not an afterthought—to deeper cooperation between our two nations.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
@POTUS@realDonaldTrump@SecRubio@StateDRL@SenateForeign@SFRCdems@HouseForeign@StateDeputySpox@statedeptspox_a@UnderSecStateP@UnderSecPD
🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment belongs to every mother who buried a child, every family still searching for answers, every victim of violence, every religious leader who stood firm, every journalist who spoke the truth, every activist who refused to be intimidated, and every Tanzanian who never stopped believing that accountability matters.
This is not the finish line.
But today, the world heard Tanzania.
Today, truth prevailed over propaganda.
Today, hope prevailed over fear.
Today, we moved one step closer to justice and accountability.
To everyone who prayed, advocated, testified, contacted congressional offices, shared evidence, and refused to look away-thank you.
The journey continues, but today we pause to thank God.
Justice delayed is not justice denied.
Safari bado inaendelea- ila leo haki imeshinda💪🏽
Thank you also to all senates and their staffers that heard our cries.
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
🚨 HABARI NJEMA: TUMEPATA USHINDI LEO!
Hatukukata tamaa. Hatukukaa kimya.
Leo tumepiga hatua moja muhimu kuelekea haki.
Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani (Senate Foreign Relations Committee) na sasa unasonga mbele katika hatua zinazofuata.
Ushindi huu ni wa kila mama aliyempoteza mwanae, kila familia ambayo bado inatafuta majibu, kila mwathirika wa ukatili, kila kiongozi wa dini aliyesimama imara, kila mwanahabari aliyesema ukweli, kila mwanaharakati aliyekataa kutishwa, na kila Mtanzania ambaye hakuwahi kuacha kuamini kwamba uwajibikaji ni muhimu.
Huu si mwisho wa safari.
Lakini leo, dunia imeisikia Tanzania.
Leo, ukweli umeshinda propaganda. (Niliwaambia ile picha ya mkono wa bendera ya Tanzania ikishikana na ya marekani yaliyochapishwa na hayo magazeti yaliyonunuliwa ni propaganda- leo si kimewaka?)
Leo, matumaini yameshinda hofu.
Leo, tumesogea hatua moja karibu zaidi na haki na uwajibikaji.
Kwa kila aliyeomba, aliyehamasisha, aliyetoa ushuhuda, aliyewasiliana na viongozi wa Marekani, aliyeshiriki ushahidi, na aliyekataa kugeuza macho yake pembeni -asanteni sana.
Safari bado inaendelea, lakini leo tunasimama na kumshukuru Mungu.
Haki iliyocheleweshwa si haki iliyonyimwa.
Now muachieni na Lissu
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
#justiceforTanzania
"Human rights violations, wherever they occur, are intolerable and must be condemned in the strongest possible terms.
Injustice does not cease to be injustice simply because it occurs beyond our borders or far from our sight. Human rights are universal, inalienable, and non-negotiable; every violation constitutes a grave affront to human dignity and the rule of law, demanding unequivocal condemnation, accountability, and redress.
In this regard, we unequivocally denounce the ongoing human rights violations and any acts that undermine the rule of law, fundamental freedoms, and the independence of the legal profession in Uganda.
We stand in firm solidarity with the members of the Uganda Law Society and all those courageously defending justice, constitutionalism, and human rights.
Their struggle for the protection of fundamental rights and the preservation of democratic values is a cause that transcends national borders and deserves the support of all who believe in justice, accountability, and the rule of law.
BAK MWABUKUSI
PRESIDENT
TLS.
‼️ABDUL ADAIWA KUONGOZA MSAFARA WA KUUZA DHAHABU ZETU QATAR‼️
Amkeni watanzania! Amkeni Watanganyika! Huko ndani taarifa zinavuja maana wazalendo wamechefukwa!
Abdul Ameir hana cheo chochote nchi hii ila wadau wanaeleza kuwa aliongoza msafara wa kwenda kuuza gold reserve zetu Qatar! Hawa wengine akiwemo gavana mbona wanakubali kuongozwa na muuza natairi wa Kariakoo kwenye mambo nyeti? Fedha zilienda hazina au mfuko wa mama?
Sasa ndo tujue kuna uozo wa level gani huko ndani! Nchi inaongozwa kama kiosk ya Kizimkazi!
Tuweni serious! Mnafikiri haya mambo naandika tu? Mambo mengine mazito yanakuja kuanikwa hamtakaa kuamini! Mengine tukiweka tutatafutana!
7/7 maandamano ni non negotiable maana bila mabadiliko TUMEKWISHA!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
There are times when we are told that justice must be set aside in the interests of peace. It is true that justice can only be dispensed when the peaceful order of society is secure. But we have come to understand that the reverse is also true: without justice, there can be no lasting peace.
KISWAHILI:
Kuna nyakati tunaambiwa kwamba haki inapaswa kuwekwa kando kwa ajili ya amani. Ni kweli kwamba haki inaweza kutolewa tu pale ambapo utulivu wa jamii umehakikishwa. Lakini pia tumekuja kuelewa kuwa kinyume chake ni kweli: bila haki, hakuwezi kuwa na amani ya kudumu.
Kofi Annan, Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Machi 2003.
‼️DUBAI! ‼️
Msione kimya kimama imebidi apelekwe Dubai maana high heels hizi hazina adabu! Kwenye ugeni huko tayari alishakosea step! Mgongo umegoma kabisa! Hali si hali kwa sasa ni kupumzika kitandani! Hii si ishu ni kawaida ila kwa nini iwe kimyakimya? Someni Katiba! Alafu Makamu naye kachomoka kimya! Tupo na Madilu ati!
Nchi mnaiendesha ka kiosk🙄
Eniwei taarifa zinavuja kila kona! Watumishi wa umma wamewachokeni! Watanzania tumewachokeni!!Acha kabisa!
#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
CCM WANADANGANYA WAFANYABIASHARA KUHUSU VIKWAZO VYA MAREKANI
CCM kupitia vyombo vya habari vya mchongo, walieneza habari kwamba VIKWAZO vya MAREKANI vimelegezwa kwa JESHI na VYOMBO VYA USALAMA, habari hii si kweli. Ukisoma mswada, mambo yote ya mwanzo yako pale pale hakuna palipo rejezwa.
Hisipo kuwa ni KWELI kuna mabadiliko ambayo ni kuongezwa kwa Global Magnitsky sanctions, Hii ni silaha ya juu kabisa ya Marekani ambayo wanatumia kuhakikisha hakuna upenyo kwa watu waliowalenga kuendelea kufanya au kutumia huduma yoyote ya kampuni ya marekani, kufanya biashara na mtu wa marekani, kutumia huduma za kibank kama vile VISA, MASTERCARD na SWIFT (hii ina control mihamala yote ya bank duniani kama unatuma kutoka nchi moja kwenda nyingine au bank moja kwenda jingine) .
Hii Magnitsky ndio imeongezwa, maana yake ni kwamba Marekani ameamua kuongeza kombora nadhani hii inatokana na safari ya kwenda Rusia ameona jeuri inazidi. Maana wameiweka hii baada tu ya safari ya Rusia, na Putin alijaribu kuonya kupitia yale maswali aliyoulizwa Samia, sema ni vile hakuna uelewa wa taarifa za kiintelejisia
Hii ikipigwa ni hatari sana, maana baada ya hii uwa ni maduro style hakuna kingine yaani hatua za kijeshi. Ukitaka kujua hili kombora la kiuchumi, kwanza ni jipya sio la miaka mingi walilibuni kupambana na mazingira ya sasa ya Dunia, Pili linapiga mpaka washirika wako kibiashara, Waarabu wengi wana uraia Pacha wa Makekani hawa hakuna namna watasogelea tena mwana CCM yote au mfanyabiashara wa CCM, kwa Kifupi hata DP World kuna namna wanaweza shindwa fanya biashara na baadhi ya makampuni ya kina Rostam na CCM wengine waliojipachika kwenye mnyororo.
Pia Inapiga mpaka makampuni yote ya Kimarekani duniani mzima yasifanye kazi wana CCM na wafanyabiashara wengi wenye vinasaba vya kiCCM. Na kama kuna suala mlikuwa mnafanya, sio kwamba linasimama tu, hapana, ILA mali zinachukuliwa na Marekani yaani zinakuwa frozen.
Kama kuna benki yoyote ina fedha zinazohusiana na watu wenye vikwazo kwenye ili kombo la kiuchumi, na benki hili lina link yoyote na Marekani, inatakiwa mali zote zisichukuliwe yaani account zinasimama. Hii Magnitsky ni mbaya kuliko hata vile TRA wanavyopita na mali zetu. Hii ikipita, Hakuna nafasi ya kuongea bila vikwazo kuondolewa.
Siku wakipiga hii, hawa maCCM si wanajifanya Jeuri ? watatakiwa kuwa wanatembea na fedha kwenye viroba. Maana hata baadhi ya Huduma za kifedha nchini zinategemea mfumo wa kimarekani. Kuna bank na makampuni mengi ya kimataifa itabidi yaondoke ili kupunguza risk ya kujikuta wamefanya makosa kwa kufanya kazi na watu wenye vikwazo.
Matumizi ya dola ya marekani ni moja ya marufuku itakayopigwa, sasa CCM wachague mapema, wanasonga na mama au Global Magnitsky sanctions itawalamba, wao waendelee kujichekesha tu na kutisha watu, lakini hata UAE hakuna mtu atawapokea, labda mkimbilie huko Rusia.
Endeleeni kuliwazana tu, lakini kikwazo chenyewe kinaitwa GLOBAL , sasa ndio mtajua kuua watu sio poa kwa dunia ya sasa
Global Magnitsky sanctions. https://t.co/NQg9EKkQEp
The USA applies Global Magnitsky sanctions to target individuals and entities involved in significant corruption and human rights abuses worldwide. Administered by the U.S. Department of the Treasury's Office of Foreign Assets Control (OFAC), these actions encompass two primary types of targeted sanctions:
Financial Sanctions: All property and interests in property belonging to the designated individuals or entities that are within the United States or fall under the control of U.S. persons (including global branches of U.S. banks and companies) are blocked and frozen. U.S. persons are strictly prohibited from engaging in any transactions involving the sanctioned parties.
Immigration Sanctions: Sanctioned foreign individuals are barred from entering the United States. They are rendered ineligible for U.S. visas or admission through the revocation of current visas.