@godbless_lema Siasa zenu zimefilisika kabisa hadi mnaanza kushambulia familia za viongozi, huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana,kwani huyo dogo kawakera nini haswa mbona sio mwanasiasa ,acheni chuki zenu kama siasa imewashinda tulizeni boli mkalime aise
@HecheJohn Badala ya kupiga kelele mitandaoni na maneno ya dharau kama utawala dhalimu, jielimishe kuhusu mipango ya bajeti na maboresho makubwa yanayofanywa na TANROADS nchi nzima kwa sasa
@BBCAfrica It is disappointing to see the BBC abandon journalistic ethics to become a megaphone for activists. Reporting 'killings' without proof isn't news—it’s a smear campaign. We demand integrity and facts, not sensationalized stories designed to tarnish Tanzania’s image.