Uko zako mjini Daslam unafanya kazi nzuri tu, ghafla mizimu ya kijijini kwenu Simiyu inakuchagua ,Inataka ukapewe Mikoba uwe Mganga wa Kienyeji..๐๐๐๐ฟ
Kuna muda unapiga hesabu za kusurvive financially for the next two weekโs unaona giza tuu, but God always come through, na sio mara moja eti, damn always. ๐๐๐๐ผ
NUKUU YA JUMATATU
Wewe ni Bora kuliko MAPITO yako ndio maaana MAPITO yanapita WEWE Unabaki.
Hakuna Muda wa Kulaumu na Kujilaumu muda wote PAMBANA zaidi kwa ajili ya Kesho yako BORA.
Good Morning ๐
Naendelea kuwakumbusha kuwa Mapenzi ni Mawasiliano, kama hakuna Mawasiliano hakuna Mapenzi.
Haiwezekani mnakaa siku tatu hamjawasiliana we unaona sawa tu.
Kaa ukijua kuna mtu amechukua nafasi yako.