Jamaa kapikwa sana hapa kwamba haiwezekani kuosha magari 25 per day tena kwa 10k, Ila mi ni kitu ambacho nimekushuhudia na ni inawezekana kabisa kuna car wash Gari inapigwa pipe na mwingine inasogezwa kuoshwa na mwingine wengine wanafuta halafu kibati.
Na kwa Dar Location zipo hata sio issue ya kubishana sema jamaa kaongelea zaidi profit kuliko kuongelea idadi ya wafanyakazi na mishahara kaongelea maji na sabuni vitu ambavyo havimuumizi mmiliki kama ilivyo kwa mishahara.
So hii ni possible kabisa wanangu ipo muda huu tunavyoongea ile road ya kutokea External kwenda Tabata jeshini nyuma ya lounge ya Florida na Paris pale shuleni kaangalie pale kuna magari mangapi now yanasubiri Foleni ya kuoshwa ila pia Location huwa inachangia kama hapo pembeni kuna lounge so watu wanakula moto huku magari yapo foleni kuoshwa.
Jamaa kashindwa tu kunyoosha maelezo ila gari 25 per day per 10k ni Possible kabisa Car wash zipo ni kupewa location na uka prove.