Kata ya Idukilo wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga. Iko jirani na Maganzo Magharibi ya Mwigumbi.
Wananchi wamemkataa Diwani fake wa ccm aliejiweka madarakani 2025…
Tangu wakati huo wananchi hawamtaki.
RPC Shinyanga amepeleka Oparesheni hapo, mamia ya watu wamepigwa na kuumizwa wengine zaidi ya 150 wana kesi mahakani Kishapu..
Uonevu huu haukubaliki.
Nimeelekeza Mawakili wa chama waingilie kati na chama ngazi ya kanda wafanye mkutano Idukilo kuzungumza na wananchi.
RPC Shinyanga sio wajibu wako kisheria kulazimishia wananchi Kiongozi wasiemtaka ambae hawajamchagua.
Huu si umati wa kusombwa, huu ni mwitikio wa wananchi waliochoka na ahadi zisizo na matokeo
Karatu imeonyesha kuwa CHADEMA ni chama cha watu sio chama cha mabasi. Wananchi wamejitokeza wenyewe kusikiliza sauti za mabadiliko #FreeLissu
Hongera my good friend kwa utumishi wako uliotukuka ndani ya CHASO. Umeonyesha uongozi wa kujitutuma, kujitole, uwajibikaji na uzalendo kweli kweli. Ninathamini mchango wako na ninakuombea mafanikio makubwa zaidi katika hatua zinazofuata ✌️
Baada ya msoto wa mda mref mwanangu kanshaur twende mgodini na kazi zilizopo ni zakuingia kule chini
Nimekubali tu ila siku ya kwenda hatonipata aisee ile kazi hapana 😂😂🙌🏼🙌🏼
#TajiriLaKihaya
Leo HANDO kawa mkali saaana😅😂
Jamaa CHADEMA Ikitajwa huwa anakua mwehu…
Good Morning ya WASAFI Wamemhoji huyu Mzenji kikatili saana aisee…
Alafu nmenotice kuna utofauti mkubwa saana - wanapo mhoji mwana CCM na wa Vyama vingine💔
KYELA, MBEYA, TANZANIA.
CHADEMA ni tumaini lililoletwa na Mungu na sasa ni mali ya kila mwananchi. Popote unapokanyaga nchini, bendera ya CHADEMA inapeperuka kwa kishindo huku ikileta tabasamu na matumaini mapya kwa wananchi. Wana-Kyela wanaipenda CHADEMA kwa dhati ya mioyo yao! #FreeTunduLissu ✌🏾
Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani @exmayor_bonifacejacob akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kyela, Mbeya leo. ✌🏾🔥🙏🏾
NB: Mwambieni Mwenezi ‘GANJA MBICHI’ wa CCM huyu ni BONI YAI peke yake.
Pia sisi tukipanga viti kama wao hakuna eneo litatosha kwa mikutano yetu
NB mtamalizia wenyewe!
Nimeamini Twitter ni sehemu ya kupoza akili na kutoa stress.
Leo Kili Fair Arusha 2026, nimefanikiwa kukutana na mwamba mmoja wa humu ndani anajifanya jobless kumbe CEO wa Kampuni moja kubwa sana ya Tours Arusha.
Ameweka stalls 4, na kila stall moja pale ni $3,000 kama sikosei.
Cashout inatembea TL inapishana na minduku ya wadada, final nao kuna kizazi halisi kinachotegemewa na Mungu MWANAUME anakula puchu.
Tutegemee winning kweli? Hivyo vikundi viwili mlaumiwe kwa kutuletea energy mbovu ya njaa.💔😅
Monaco ni nchi ya pili kwa udogo duniani. Ina wakazi takribani 38,000 tu na ukubwa wake ni mara 2 ya eneo la Kariakoo. Hapo wanaishi matajiri wakubwa tena inatawaliwa na familia moja kwa zaidi ya miaka 700 sasa. Haina jeshi bali inalindwa na Ufaransa. Maisha ya hapa ni ya starehe