Take actions to prevent strokes by adopting a healthier lifestyle:
🥗 eat healthier
🏃♀️ be physically active
💪 maintain a healthy weight
🚭 avoid tobacco & alcohol
High blood pressure is a silent but serious threat — and knowing your numbers can save your life.
Check your blood pressure regularly and track your readings over time. Aim to keep your blood pressure below 140/90 mmHg — and remember: the lower, the better for your heart, brain, and kidneys.
Taking action today protects your health tomorrow.
Know your numbers. Take control. Stay healthy.
@shaffihdauda1 Pamoja na kuwa mwanzoni Lookman alimpa pass na kumfanya afunge goli⚽️ zuri bado mwamba aliamua kufoka!!! Inawezekana kabisa kukawa kuna ushindani wa ndani ya timu pia na Osimhen anataka adominate
@shaffihdauda1 Lookman alijitahidi sana kumpa pasi Osimhen, lakini alizidiwa. Hata hivyo, Osimhen hakupaswa kumfokea mwenzake kwa kiwango kile. Kama Lookman angekuwa na personality kama yake, wangeweza hata kushikana pale uwanjani. Naona personality imekuwa tatizo hata kwenye kusajiliwa kwake
"Tofauti na tulivyojua huko nyuma, watoto wa kike ni baraka kubwa sana kwa familia. Watoto wa kike huwa hawasahau kwao na hawasahau wazazi wao. Wana upendo wa kipekee sana. Ukipata mtoto wa kike mshukuru sana Mwenyezi Mungu." ~Togolani Mavura.
"Katika maisha unatakiwa uzungukwe na watu wa aina zifuatazo: wale watakaokufungulia milango ya fursa, wale watakaokuonyesha njia na vichochoro, wale watakaoambatana na wewe kwa kila hali, na muhimu zaidi, wale watakaokuhoji." ~Togolani Mavura.