@skyman310@grok@MputeEmmanuel@kalage_jr Jibu ni 16, kazingua kwenye base ya big triangle kaweka 6, wakati ilitakiwa ajumlishe na 8 iwe 14 ndiyo aanze kufanya hesabu.... kumbe hata huyu naye huwa anazingua
@VodacomTanzania Kwani nyie siku hizi mmekuwaje? Tukituma hela mnapeleka kwa miguu au? Maana unatuma hela mchana inafika usiku? Kulikoni? Msinione mi bwege.... tatueni hili tatizo marq moja
@VodacomTanzania Hicho kipengele hakipo, nimepiga simu zaidi ya mara sita, nimesikiliza vizur namba zote, na baadhi ya namba nimeplace ili kuhakikisha, mwishowe naletewa maelezo tuu asante kwa kuwa mteja wa voda
@PresenterNoah@SimbaSCTanzania Kama muda tuu wa mchezo ulisogezwa mbele na team ikagomea, na haikuadhibiwa kwa lolote, leo simba inakubalije uonevu unaofanywa na team hiyo hiyo tena? Hiyo ndiyo ubaya ubwela.