How old were you when you realised the word POLICE stands for "Public Officer for Legal Investigations and Criminal Emergencies"....??
๐๐ most of you probably its Today๐๐
@ManenoIzaak Hamna kitu kama icho bwana Isaac ID sio lazima iwe na Sahihi au picha ivyo vitambulisho inawezekana vina ID MARK ya Namba ambayo inatatumika kutunza kumbu kumbu za muhisika, so sio lazima vitengenezwe mfumo ambao sis tumeozoea au tunauhitaji
#Sikilizamdgoangu "Si kila asiyekupenda anakuchukia, wengine hawajapata tu sababu ya kukupenda, kama unapenda kupendwa basi wape sababu. Si kila anayekubishia anakupinga, wengine wanataka tu kukuelewa zaidi, kama unapenda kukubaliwa, jitahidi kueleweka." Hekima za Mwalimu Simbeye
@HKigwangalla@Victor_fjm Dr. Usisahau nawew kua hata cheo au sehemu ulipo this time sio permanent ko tumika ipasavyo na upatendee haki pale ulipo na na cheo ulichopewa https://t.co/OAJYJPgFrb
@ManenoIzaak Mbona hao wasomi ndo wanatuangusha bro, madokta professors ndo wanaomwaga pumba kila kukicha apo bro naona kama utendaje na utu Kwa wabunge uwezi ukaupima Kwa elimu
@HKigwangalla Tatizo ni pale ambapo wananchi wanaumia lakin wew unacheka umefurahi, Wenda mjadala haukua wako lakini furaha yako inatafsiliwa tofauti sana mkuu
I've seen better days, but I've also seen worse. I don't have everything I want, but so far I do have all I need. I woke up with some aches and pains, but I woke up. My life may not be perfect, but what I know for sure is that am BLESSED โโโ