@kipenka_hq @KibindoFrancis@Icon__08 Sema watu wa hivi pisi zenu zinakuwaga za hovyo kinowma kazi kujiongelesha tu mbele za watu. Na usikute hata kutongoza haujui🤣🤣🤣🤣
@kalegamyeh@EdwinTitus10 Ukiambiwa kuwa umezingua unasema hatujaelewa🤣🤣.hela ni muhimu nanafya ni muhimu pia.ila uliviliweka kama vile ukiwa na pesa tu unapoteza afya
P. S
Ukiwa na Self Respect kwako mwenyewe hata watu wengine watakuheshimu.
- Kama umependa ujumbe huu, fanya kuretweet, kulike na kunifollow.
Peace ✌ and Love ❤
@kigogo2014 Bro sikuizi hufichui maovu umekuwa mbea😂😂 sasa kuwahi kuijua habari na kuwapelekea watu si ndo umbea huo.mi nadhani ungejikita kwenye mkurugenzi flani kapiga hela za mradi flani na hajashughulikiwa sasa huku daah huna tofauti na carry mastory wa insta.