@rollymsouth Nafikiri kinachotafutwa ni vazi la Taifa sio vazi la kabila, mbona kuna Wimbo mmoja wa Taifa pamoja kuwa na makabila yote uliyoyataja? Mbona kuna Lugha moja ya Taifa(Kiswahili)?
@simbahd Itโs true lakin nafikiri ni manunuzi ya nguvu kazi (Labor) sidhani hadi kwenye vifaa (Materials) bado Kahama inafanya vizuri in respect of force account
@kalegamyeh Tunawaandama matajiri tu kuna maskin wengi wanaumwa hayo magonjwa pia kuna matajiri wengi sana na hayo magari yet hawaumwi hayo magonjwa. moral of the story yako: Change Mentality tafta pesa penda afya yako, familia na ndugu na marafiki,
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO๐
Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...๐
1๏ธโฃ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.
Shuka Nayo...๐
@EnockLwegaluli4@dna_bongo@daktarimtalii Sio kweli kua unakua attendant. Any MD ukienda unafanya mitihani kupata leseni inaitwa USMLE iko mitatu ukifaulu inafanya residency programm for 3 years( of which around $5k to $8k per mo) then after you become a specialist o then salary goes to around $15k to 25k kwa mwez
1. Drink water this morning. Do that for your kidneys.
2. Eat at least an egg today. Do that for your brain.
3. Use your legs. Exercise. Take a walk. Do that for your heart.
4. Stay hydrated through today. Do that for your body.
5. Retweet. Do that for others.