Asante brother @HecheJohn very logical! Na mfano huu wa Simba SC mbona ndo umemaliza? Sasa kazi kwao CCM na liserikali lao - nje ya hapo wamekataa kuweka fair ground wameamua wajipendelee na refa, linesmen wao na hata game rules wame-rig!
Sasa mtu anakwambiaje ulinde kura kwa mazingira haya? 🤣 The demands are logical na sisi wapiga kura tunakubaliana na @ChademaTZ2 - kura zetu ziwe halali na zihesabiwe!
Na reforms itaanza kwa kufumua daftari la wapiga kura!
Mbona #TutaelewanaTu mwaka huu?!
@abdulnondo2 1. Kura hazilindwi na watu bali sheria
2. Uchaguzi unatakiwa kuwa huru na haki ( tutahitaji overhaul ya mfumo mzima wa uchaguzi)
3Kwenye social contract theories ni uchaguzi pekee unaompatia mwananchi nafasi ya kutawala nchi yake kwa kujichagulia viongozi (kura lazima ihesabike)
Amsterdam & Partners LLP Calls for Suspension of Aid to the Tanzanian Government Following Poisoning Attempts Against Opposition Leader Tundu Lissu https://t.co/DMhygTSuts
🚨Important statement from @ChademaTZ2 🚨
It’s regarding the incendiary remarks of CCM members about @TunduALissu
Safi sana 🙏🏽 shikilieni hapa hapa
#FreeTunduLissu
2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba Niende kokote ninakotaka.
Nikaenda Mahakamani walipopokea Petition yangu na kuona nimeomba scrutiny ya kura zilizopigwa Mkurugenzi wa Halamashauri( Hapa soma Returning Officer aliye apishwa ) tuliambiwa kiapo kinawafanya watakatifu.
Akaagiza wafanyakazi...wakafungua masanduku ya Kura wakaanza kuchoma kura zangu na kupiga kura upya. Nikakimbilia Tune ya Taifa ya uchaguzi.Wakasema kwakuwa niko Mahakamani hawawezi kuingilia...Mahakama Ikaniambia hatufanyi chochote mpaka udeposit Milioni 12 taslimu.
Ndugu yangu ,Hauwezi kulinda kura kwa Rungu na Majabali kura zinalindwa kwa Sheria na Kanuni zinazo hakikisha uwazi wa Zoezi Zima.
YEYOTE ANAYEKWAMBIA UTALINDA KURA NI TAPELI.
🚨 EXCL: Gabriel Heinze joining Arsenal as part of coaching staff. Former Argentina international defender being added to group after Carlos Cuesta became Parma head coach. 47yo played alongside #AFC boss Mikel Arteta at #PSG. W/ @gunnerblog@TheAthleticFC https://t.co/LmHOGZUVRX
@rollymsouth We are ready to pour water in every step 😄
1. Before casting ..pour water
2. After casting.. pour water
3. During counting..pour more water
4. After results ..cry in water form
😂😂
#TANZANIA:WANACHAMA 4,109 WA CCM WACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE
Chama cha Mapinduzi (@ccm_tanzania ) kimesema jumla ya wanachama 4,109 wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania kugombea ubunge katika majimbo yote 272 ya Tanzania kwa tiketi ya chama hicho.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa @ccm_tanzania , Amos Makalla, ameeleza kuwa kati ya waliochukua fomu, 3,585 ni kutoka Tanzania Bara huku 524 wakitoka visiwani Zanzibar.