@Mapokar24 @Benjaminkamo Ukiteseka kwa kufoji vyeti. Yaan elimu yako ya la 7 alaf ukawa unajifanya unadegree then uachwe??? Wakt Kuna wenye masters hawana ajira
@abuuaqram@VFotunatus@IAMartin_ 😅😅😅kwahyo nyinyi ndo mnaijua vzur siasa na sheria na jinsi nchi inaongozwa? Mambo yaliyotakowa kufanywa miaka ya 60 kwann hayakufanywa?
@Code1840panther @ambwene_ @kilepi_tweve Ata Mimi mbele ya mtu ninaemuheshimu huweka ivyo mikono. Ila swali ni kwamba wamefikaje apo ikulu na baskel zao za madafu