@wickama Nyama yoyote inayotoka ndani ya mnyama ni hatari kula,sumu zote anazokula mnyama zinachujwa na maini,ndiyo maana siyo salama kula,hata utumbo nao siyo salama sana kula hasa ule wa taulo ni hatari,labda uchemshwe sana kama maharage nà hata maini labda yashemshwe sana