Kuna mahali (Rorya) nina shamba. Nikataka kuchimba kisima cha gari. Wenyeji wakanitonya kuna dogo anapima maji kwa simu ya kitochi na kuchimba. Nikakataa. Ila nikampa fursa. Kaja shambani, namuona anazurura na simu akachagua site & kuanza kuchimba. Huyoo anarusha maji ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
@kiruga_peter@sua_nyansa4 Tanzanian police has been arresting illegals from the Eastern Horn of Africa destined to South Africa for years hiding in lorries, fuel tankers and other means. I dont see potential investors in these pictures.
@akech_andrew@AlexMpini Data suggests Tanzania is very close to striking oil in its Lake Eyasi basin. If successful, it could either connect this oil to the EACOP pipe or even go solo and build its own refinery at site and sell its oil to the SADC countries. To me the later option is better
Kwa wenzetu hili tunda ni green gold. Huko Asia eka moja (miti 64-70, spacing 8mx8m) mkulima anaingiza sawia ya Tshs 10M kwa mwaka. Ni vumilivu sn. Hili tunda utawaacha wajukuu wanavuna. Utotoni nilitishwa nikikanyaga ganda lake nitapata matende. Uongo mtupu.
Iko hivi, baba kauza nguruwe wake. Kisha kaenda mnadani kanunua beberu la mbuzi. Karudi nyumbani na kumchinjia mwanae ili kutambua na Kumpongeza kwa mafanikio yake ya hivi karibuni. Wataalamu wa rural sociology hii imekaaje?
Ukipimiwa 70 kwa 70 kule Fukayosi fahamu ni km mita 63 kwa 63. EKA moja ni mita za mraba km 4047. Mkuu, hatua yako haifiki mita 1. Sasa, Ukinunua eka 5 umeuziwa eneo la 5x4047sqm. Ili Kujua ununue miche mingapi (km miembe) gawanya hilo eneo kwa spacing ya zao lako. Good Luck!
@MosabHasanYOSEF Officially the 400kg of HEU is sitting in one location to be stolen. On the ground you could have the 400kgs split in 8 different locations of 50kg material